Msaada
Usafirishaji na kuchukua
Kila kitu kinatoka Mikocheni. Usafirishaji ndani ya Dar es Salaam ni bei moja; mikoani ni kwa basi na unalipa nauli ukifika. Kuchukua ni bure.
| Wapi | Vipi | Muda | Bei |
|---|---|---|---|
| Kuchukua Mikocheni | Chukua mwenyewe | Siku hiyo | Bure |
| Dar es Salaam | Bodaboda | Siku 1–2 | TZS 5,000 |
| Arusha, Mwanza, Dodoma | Vifurushi vya basi | Siku 2–3 | TZS 8,000 + bus fare |
| Mahali pengine Tanzania | Vifurushi vya basi | Siku 3–5 | TZS 10,000 + bus fare |
Kuchukua Mikocheni
Regent Street, Mikocheni B, Dar es Salaam. Mon–Sat, 10:00–18:00. Choose pickup at checkout and we send the gate number and a map pin on WhatsApp once payment lands. Message before you set off so the piece is out and pressed.
Namna ya kulipa
Weka oda kwanza — utaona namba hizi unapoweka oda na tena kwenye uthibitisho. Tuma jumla kamili, kisha tunathibitisha kwa WhatsApp kabla ya kutuma.
- M-Pesa
- 0747778714Tushmy Abaya
- Tigo Pesa
- 0717906996Tushmy Abaya
- CRDB bank
- 0150 000 000 000Tushmy Abaya
Ongeza jina lako au kumbukumbu unapotuma — kuna sehemu ya hiari wakati wa kuweka oda kwa jambo hili, na inatusaidia kulinganisha malipo.
Kurudisha
Halivaliwa, lebo zipo, ndani ya siku saba. Tuandikie kwanza ili tujue linakuja. Usafiri wa kurudisha ni wako; kama vazi lilikuwa si sahihi au lina hitilafu, ni letu na tunalipia njia zote mbili.
Kuhifadhi oda yako
Unapoweka oda vazi linatolewa kwenye mauzo mara moja na linahifadhiwa saa 24 unapolipa. Kama hatusikii kitu linarudi mtandaoni — tuandikie kama unahitaji muda zaidi na tutalihifadhi.